Bata la Dar si la Kusimulia, Bar Zafunguliwa Watu Mwendo wa Kujirusha tuu




Ripoti kutoka kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam usiku huu ni kwamba Baa mbalimbali zimefunguliwa ikiwemo ya Liquid Kurasini.

Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Paul Makonda @baba_keagan kutangaza waliokimbia corona warudi Dar kuendelea na shughuli za uchumi huku akiitaja Jumapili ya leo kuwa ndio siku rasmi ya kurudi kwenye viota vilivyokua vimefungwa, siku ya kuliamsha tena japo kwa tahadhari

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad