Bilionea Mo Dewji Aelezea Kisa cha Kusisimua Akimuonyesha Upendo Mama yake, Huwezi Amini


Bilionea na mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Afrika Mohammed Dewji ameelezea kisa cha kusisimua wakati akimtakia heri mama yake katika siku ya wakinamama duniania.

Mo ambaye hivi sasa ana umri wa Miaka 45 alieelezea kuzaliwa kwake katika eneo la Ipembe, Singida takribani miongo mitano iliyopita ambapo amebainisha kuwa mama yake hakwenda hakujifungulia hospitali.

“Heri ya siku ya kinamama, Kwa wale msiofahamu, sikuzaliwa hospitali, mama yangu alipambana na uchungu wa masaa 18 na kunizaa akiwa nyumbani katika mjimdogo uitwao Singida. Nakupenda mama,” aliandika hivyo MO katika ukurasa wake wa Instagram.

Ikiwa na chini ya saa 20 posti hiyo ilipata likes zaisi ya 20,000 na komenti takribani 300 wengi waliutaja ujumbe huo wa Mo kama kisa cha kusisimua.

Verified

Happy Mother’s Day! For those who don’t know, I never made it to the hospital. My mother underwent 18 hours of labor and gave birth to me at home in a small town called Singida. I love you mummy.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad