Magufuli "Sijakimbia Ikulu, Chato ni Kwetu Hata Nikifa Nitazikwa Hapa"

“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM

“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkuu ukigusa Posho na Ruzuku,, Hawa huwa
    wanapata Kizungu zungu na Maluweluwe Juu.

    Walioingia Mitini utawaona wote wapo.

    Mkwala wako ni Saizi yao..!!

    Hongera sana Jemedari wetu..

    Wanataka kutumia Kolona kuwa ni jukwaa la Siasa huku wakijua Hawana chao ktk Uchaguzi mkuu ..na Bunge limesalia kama mwezi na ushee.

    Pumzika Baba uje na nguvu mpya Kututumikia kulijenga Taifa letu na Kutuletea Tanzania Mpya.

    ReplyDelete
  2. Mkuu ukigusa Posho na Ruzuku,, Hawa huwa
    wanapata Kizungu zungu na Maluweluwe Juu.

    Walioingia Mitini utawaona wote wapo.

    Mkwala wako ni Saizi yao..!!

    Hongera sana Jemedari wetu..

    Wanataka kutumia Kolona kuwa ni jukwaa la Siasa huku wakijua Hawana chao ktk Uchaguzi mkuu ..na Bunge limesalia kama mwezi na ushee.

    Pumzika Baba uje na nguvu mpya Kututumikia kulijenga Taifa letu na Kutuletea Tanzania Mpya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad