BREAKING News: Kiwanda cha Kahawa Chateketea Kwa Moto Kagera
0
May 07, 2020
KIWANDA cha kukoboa kahawa cha Kharim Amri kilichopo Mgakorongo wilayani Karagwe, kimeungua moto. Taarifa za awali zinadai kuwa mashine na vifaa vingine vilivyoungua vina thamani ya Tsh bilioni 1. Mkuu wa wilaya hiyo, Godfrey Mheruka, amethibitisha..
Tags