Breaking News Mwenyekiti wa CCM Kondoa Athumani Gora amefariki

Top Post Ad


Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya kondoa ndugu Alhaji Othmani Gora Amefariki dunia ghafra usiku wa jana kuamkia leo

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inna lil lahi, wa ina ilehi raj3n.
    Ametangulia na sisi tunafata.

    Poleni wafiwa , ndugu na jamaa wote tulioguswa na Msiba Huu.

    Marehemu amefanya mengi mema katika kumtumikia Mungu na Chama chake kwa Faida ya Jamii na Busara na Upendo wake tutavikumbuka Daima.

    Mungu Ailaze Roho yake peponi Amin.

    ReplyDelete