Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetanganza kuwafukuza uanachama Mbunge wa Rombo Joseph Selasini na Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu kwa kuwa wamepoteza sifa ya kuwa wanachama wa chama hicho.
“Kamati Kuu CHADEMA imeazimia Wabunge Anthony Komu na Joseph Selasini pamoja na kuwa wamejipotezea sifa ya uanachama wa CHADEMA, wameendelea kutoka kauli za kejeli, kashfa na kukiuka maagizo ya Chama, hivyo Chama kimeazimia kuwafukuza uanachama” -John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
“Mbunge David Silinde na Wilfred Rwakatare sio tu wamekiuka agizo la Chama bali wamekuwa wakijitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya maagizo ya Chama na Viongozi wa Chama, Kamati Kuu CHADEMA imefikia uamuzi wa kuwafuta uanachama”- MNYIKA
“Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Mariamu Msabaha, ameshiriki kukiuka maagizo ya Chama, ilitakiwa awe mfano na kwakuwa amekwenda kinyume, amevuliwa nafasi zake zote ndani ya Chama na kubaki na Ubunge na atatakiwa ajieleze kwanini asichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo”-MNYIKA
“Kuhusu Wabunge wengine ambao wamekwena kinyume na maagizo ya Chama lakini hawajaonesha utovu wa nidhamu kwa kutoa kashfa kwa Chama, watatakiwa wajieleze kwanini wasichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo” -MNYIKA
Haaaa Haa..!!! ha HA HA, KICHEKESHO..
ReplyDeleteNilisema hvi vinaanza Kuwa vioja Mtaani!
baada ya kukosa Ajenda na Hofu ya kutorudi tena Bungeni. Sasa tumeanza KUKOMESHANA.. NI UPUMBAVU WA KUPUUZWA..!
Mimi Mbu mbu MBU MZUNGU WA RELI. NAJUWA
KWAMBA SHERIA IPO ON FEUD AND REPRAISAL LAW. AMBAYO MOJA KWA MOJA ..HIKI KITENDO HAKINA MASHIKO NA NIA YAKE IKO WAZI YA KISASI NA KUKOMOANA. MBOWE UMEBUGI STEPU BRO... JIPANGE.
KAMA ULIFIKIRI HII KARATA NI TURUFU YA CORONA.. KUMBE ILIKUWA NI GARASA.
NA BADO UTAENDELEA KUFANYA MAKOSA MENGI.
WABUNGE WATAENDELEA KUWA WAKILISHA WAPIGA KURA WAO MPAKA UKOMO WAO NA MALIPO YAO HALALI YATAENDELEA NA KOKOTOO ZAO WATAPATA TO SERIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO. WALIO JITOA MUHANGA KUWASEMEA NA KUSIMAMIA WAPIGA KURA WAO.
NA BUNGE KWA TAARIFA YAKO LIKO UKINGONI
WEWE KUPOTEZA VITI VYAO KWA NIA ZAO WALIOTANGAZA NI BORA UVUMILIE TU NA USUWE KIOJA MITAANI. NA JIONGEZENI KUIJUA SHERIA.
KINA KARUME KENGE MKO WENGI LAKINI NI AIBU KURIDI TENA DARASANI ILI UWEZE KUJIPANGA HUKO 2040 KAMA BADO CHADEMA NA WEWE UTAKUA HAI PANAPO UHAI.
SI UNAJUA KAMA SABAYA ANACHUKUA JIMBO LA HAI.
SILINDE /KOMU / SELASINI/ LWAKATARE / LIJUAKALI / MWAMBE NA WENZENU WOTE MLIOSHIRIKI KIKAMILIFU KUWATETEA NA KUTATUA ADHA ZA WAPIGA KURA WEZU BIG RESPECT. WALA MSIJIBISHANE NAO HAWA MITANDAOONI.
KUSHOTO KULIA INAKULA KWAO NA WANANCHI TUNAWASOMA KUKAMILIFU HAWA VIBARAKA.
SPIKA OYEEE// BUNGE OYEEE/ TANZANIA OYEE
MAJALIWA OYEE/ JPJM OYEEE.
LONG LIVE TANZANIA LONG LIVE OUR GAME CHANGER KIMAGU CHETU // KIPENZI CHETU.
aaaa Haa..!!! ha HA HA, KICHEKESHO..

MNYIKA, UMECHEMSHA KATIKA HIYO QUOTE YA KATIBA YANU KIF 2(A). HAS BEEN FLAWED TO AN EXTENT. THERE WAS NO EFFORT TO REACH THE MP's in the first place. So its unfounded by its entirety.
ReplyDeleteJiongeze Dogo kujua hiyo katiba uliyoishika na siyo kuisoma bila kujua unachosoma kinaeleza nini na what are the grounds it touches to make it effective.
Sheria and constitution has its elaborations and hiden meanings for you to understand. Kasuku anarudia aliyo sikia na wewe UMEKUWA KASUKU?
NYIE WOTE NI GENGE LA WABABAISHAJI.
ReplyDeleteTUMESHA WASOMA..!!
KULA ZETU NG'O HAMZIONI TENA.
TULIMPAGA LOWASA KASHARUDI NYUMBANI.
NYIE WOTE NI GENGE LA WABABAISHAJI.
ReplyDeleteTUMESHA WASOMA..!!
KULA ZETU NG'O HAMZIONI TENA.
TULIMPAGA LOWASA KASHARUDI NYUMBANI.
NYIE MKATAFUTE AJIRA TUU ZA SAIZI YENU.