Breaking News: Zitto Kabwe Aachiwa HURU....Lakini Afungwa Mdomo Mwaka Mzima...


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, imemuachia huru Kiongozi wa Chama cha ACT azalendo, Zitto Kabwe kwa sharti la kwamba, asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.

Kesi hiyo ya uchochezi namba 327 ya mwaka 2018, Zitto alikuwa anakabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi, anayodaiwa kuyatenda Oktoba 28, 2018, wakati wa mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho.

Katika shtaka la kwanza, ilidaiwa kuwa siku hiyo akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitoa naneno ya uchochezi yenye nia ya kuleta chuki miongoni mwa wananchi wa Tanzania dhidi ya Jeshi la Polisi.

Ilidaiwa kuwa Zitto Kabwe alizungumzia mauaji, yaliyotokea katika Kijiji cha Mpeta wilayani Uvinza mkoani Kigoma ambayo yalisababishwa na vurugu kati ya Polisi na raia.

Ikumbukwe kuwa kwa mara ya kwanza Zitto Kabwe, alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba 2, 2018,

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamuhuri, LEO NI IJUMAA.
    J3 unakata Rufaa kwa mchochezi huyu ambae kwa sasa na kundi lake wako Amana na Mloganzila kujipatia Data potofu ampe kaimu balozi na kuandika katika Makala potoshaji Duniani.

    Jamuhuri jipangeni ki sawa sawa.

    ReplyDelete
  2. Jamuhuri, Adhabu aliyopewa kulingana na kosa Jmuhuri sisi Watanzania hatujatendewa haki kwa hiyo Ni vyema tukatiwe Rufaa juma tatu ili apewe Adhabu kali Zaidi iiwemo kwenda Lupango mvua isizo pungua 15.

    Hivi sasa yuko na genge lake teule Katika Mahospitali Amana/ Mloganzila/ M.nyamala anatafuta Data za waathirika ili apotoshena kuchochea kwa baadhi ya Balozi hapa nchini. na zinine katika magazetiya huko Australia (Sydney harald).

    Uchochezihuyu Dogo ni Hulka yake naAina shakka.

    Jamuhuri mjipange ki sawa sawa.
    Biswalo na Nassoro jalada mnalo lifanyieni kazi stahiki. Biswalo fatilia ipasavyo. Kumyamazisha ni Bora
    na itapendeza akihifadhiwa vile vile.

    Kalamu yake na Mdomo wake una Madhara
    makubwa kwa Nchi yetu na Amani Yetu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Umesha sikia.!
      DOMO LA CHOO..??

      Basi huyu Dogo ni HULKA YAKE.

      Hata umpe masaa 72 hawezi bila
      kupotosha ataumwa na kwenda zahanatiyake Mabibo.

      Tunoba Jamuhuriiliimamiie hili
      ipasavyo na Adhabu kali zaidi ya
      kuwa fundisho kwa wenyenia ovu kama huyu na kma hawa wanao jipongeza "Umeona yangu mpya mtandaoni"

      Ni lazima wakomeshe na wapate fundisho.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad