Breaking NEWS:Madagascar Yaripoti KIFO cha Kwanza cha Corona


Madagascar imeripoti kifo cha kwanza cha corona huku maambukizi pia yakiongezeka na kufikia 304, wagonjwa corona waliopona wamefikia 122,Madagascar imetangaza kuwa na dawa za kufubaza corona, Tanzania inazifanyia tafiti dawa hizo ambazo ilizifuata nchini humo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad