Breaking: Rais Magufuli Afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa TSC


Rais Magufuli amemteua Dkt. Willy Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) kuanzia leo, Dkt. Komba ni Profesa Mshiriki wa UDOM na anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Oliver Mhaiki ambaye amemaliza muda wake.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad