Breaking: Waziri Wa Katiba Na Sheria Mahiga Afariki Dunia -Video



Waziri wa Katiba na Sheria , Balozi Dkt Augustine Mahiga amefariki dunia alfajiri ya leo baada ya kuugua ghafla akiwa mjini Dodoma.

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi na kumuelezea Balozi Mahiga kuwa ni mchapakazi, mzalendo na mwanadiplomasia mahiri.



Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siamini Na Nishtushwa na Hii Habari, Kwa Majonzi makubwa kuondokewa Balozi Mahiga.

    Mungu Ailaze pema Roho yake.

    Wasiwa Poleni sana.

    Mungu aupeni Suubira na mshikamano kk hiki kipindi kigumuu.

    ReplyDelete
  2. Poleni ndugu zangu wafiwa na wote tulioguswa na msiba huu.

    Mbunge aliejileta Bungeni na halafu Kujikalantini baada wa kukutana na Wabunge wengi. Ni bora ajisalimishe badala ya kwenda kewnye vyombo vya Habari na Kuanza Kulaumu kuwa Pro Bakari kaondolewa mara Raisi Kamuondoa Mama Zenab Chaula. Huku akifuta Jasho mara kwa Mara kitu ambacho Kinashiria kwamba Afya yake si sawa sawa au Nzuri.

    Naomba Tumuangalie Vizuri. Na kuhakikisha tuna trace Back watu wote aliokutana nao na kusalimia nao au kukaa nao au kula nao au...NK N.K...
    Inaonesha Nia yake ina walakini. Na anajaribu kuchukua Jukwaa kulifanya la Kisiasa. Ukweli na Dhamira yake anaijua mwenyewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad