Busted...Diamond Platnumz Adaiwa Kuvaa Saa Fake..Mtandao Mkubwa Wamlipua...

Diamond

Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.


Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa kavaa saa hiyo baada ya masaa machache ukurusa unaotambulika kama fake watch ukurasa unaofuatiliwa na wasanii mbalimbali na wakubwa duniani ikiwa na Kanye west, Chris Brown, Justin Bieber na wengine wengi mtandao unaojihusisha na vitu fake pia ulipost picha hyo ikieleza kuwa saa iliyovaliwa ni msanii huyo ni fake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad