Calisah Afunguka "Wasanii wa Singeli ni Wachafu, Hawaogi Wana Meno ya Njano na Wananuka Jasho"

Calisah
Wasanii wengi wa Bongo ni wachafu hasa wa Singeli,hawaogi,wana meno ya njano,wananuka jasho....Siwezi kuhudhuria show, itakuwa ni wendawazimu kuwa video king Kwenye video ya Msaga sumu,sholo mwamba ebu wabadilike sio kuimba nyimbo za uswahilini ndio kuwa mchafu...... "Calisah"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad