Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kupitia katibu mkuu wa chama hicho John Mnyika kimejibu madai ya Spika Job Ndugai kuhusu kuchukua posho ya kujikimu na kusema kuwa madai haya ya Spika wa Bunge ni uongo.
“Kuhusu madai yaliyotolewa na Spika kwamba Wabunge wa CHADEMA waliopewa posho za kujikimu kwamba ni wezi, madai haya ya Spika wa Bunge ni uongo, Chama kimetoa rai kwa Wabunge kutokutelekeza yale ambayo Spika ameyasema, Wabunge wa CHADEMA sio wezi”-John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
Spka ndugai aliwataka wabunge wa chadema wakiongozwa na Freeman Mbowe kurudi bungeni haraka iwezekanavyo na fedha za posho walizochukua kwa siku 14 na kuzirudisha kwa kuziweka katika akaunti ya Bunge.
UONGO, KWELI , MNAJUA WENYEWE.
ReplyDeleteTUNACHOTAKA PESA ZETU ZA KODI ZIRUDI.
UNALIPWA UJIRA KWA KAZI ULIYOFANYA.
UMELALA NA KWENDA BAA. NI LAZIMA ILE KWAKO WAKATI WA UBABAISHAJI NA DILI ZILE ZAMA ZILIPENDWA NA SI KATIKA AWAMU HII YA TANO.
TUNAKUSANYA KODI ZA WANYONGE HAZIWEZI KULIWA KIULAINI.
HONGERA SPIKA WETU , MDODO WA KUKAYA.
HONGERA NGOSHA HAWA WATANYOOKA TUUU.
Ajenda yenu imegonga mwamba.
ReplyDeleteKarata yenu drooped at a wrong time.
Kama mlidhani, mhemko wenu huu wa utoro.
Bungeli lingesimama na nyinyi kupata muda wa kuendelea kutanua na kuchukua posho za kodi zetu baada ya juni. Hilo si wakati huu wa JPJM.
Bunge litafungwa might be even a bit earlier or on time. Na ndiyo ukomo wenu na sidhani kwa kukosa sera na ajenda wananchi baada ya kuwajueni Hila zenu na kukosa Uzalendo na Nchi yenu. wamesha jifunza Kosa na Hawato rudia Kosa.
Kwa Ujumla wake, Mmekula Huuuu.
Na Viporo Juuu.
MKATAFUTE AJIRA, KABLA HAMJAWA
VIOJA MITAANI.NA SIAJABU HATA UTEJA PIA.
RUZUKU NA POSHO ZIKISHA KATIKA. PAAAP!! HAPO PATAMU.