Chadema yataka Kujua Kifungu Gani cha Sheria Kilichotumiwa Kuwaita Wabunge Kuhojiwa Polisi

Chadema

Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, amehoji ni kifungu gani cha sheria kilichotumika kuwataka wabunge waliopo mkoa wa Dar es Salaam kuripo polisi kwa ajili ya mahojiano.

“Afande barua nyingine zote wito huwa mnanukuu vifungu vya sheria mnavyovitumia kutoa wito husika. tamko hili halionyeshi vifungu hivyo kulikoni?,”

Mrema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa “Kuna ambao wako na familia, wengine karantini, wagonjwa wapo kwenye clinic zao, wengine kwa mujibu wa katiba,”
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kutokuingia kazini bila kuomba ruhusa kwa mwajiri wako ni makosa ya hijai

    ReplyDelete
  2. Ama kweli,wewe ni Mrema feki. na cheo chako hapo ni nani(Wadhifa)

    Sheria iko wazi kabisa, na Wabunge husika(Watoro) wanaielewa Vyema. Sasa wewe ndio Supemeni wa Kuuliza ( Haipendezi)

    Pitia sheria kwa faida yako ili usizungumze utumbo mitandaoni.

    Na ukitaka msaada zaidi nikuelekeze kwa mwana sheria k.m Mughwai au Manyama au Kyashama. lakini ukiende kwa wale feki k.m Shangazi
    na wale wenzake wa dizaini yenu .. Ndiyo Vile. Ama Vipi?

    Pipo// Pwaa... Pipo... Pwaaaaaa...!!!

    Jiongeze Dogo. Elimu haina mwisho...!!!

    Mwekiti wa kmati ya Ulinzi na Usalama... Mamlaka yake ni bora uyajue kwa Upana wake .... Ili usizungumze utumbo Huko mbele.

    KINA KALUME KENGE MKO WENGI... INASIKITISHA...!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Huyu na hawa Waleeeee. Wotte ni wakupelekeshwa.

      Kwa Sisi Wakaguru tunasemaga, Wanaswagwa.

      Delete
  3. KINA KALUME KENGE MKO WENGI... INASIKITISHA...!!!

    Ama kweli,wewe ni Mrema feki. na cheo chako hapo ni nani(Wadhifa)

    Sheria iko wazi kabisa, na Wabunge husika(Watoro) wanaielewa Vyema. Sasa wewe ndio Supemeni wa Kuuliza ( Haipendezi)

    Pitia sheria kwa faida yako ili usizungumze utumbo mitandaoni.

    Na ukitaka msaada zaidi nikuelekeze kwa mwana sheria k.m Mughwai au Manyama au Kyashama. lakini ukiende kwa wale feki k.m Shangazi
    na wale wenzake wa dizaini yenu .. Ndiyo Vile. Ama Vipi?

    Pipo// Pwaa... Pipo... Pwaaaaaa...!!!

    Jiongeze Dogo. Elimu haina mwisho...!!!

    Mwekiti wa kmati ya Ulinzi na Usalama... Mamlaka yake ni bora uyajue kwa Upana wake .... Ili usizungumze utumbo Huko mbele.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad