Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka mbunge David Silinde kujiuzulu nafasi zake zote za uongozi kwa kushindwa kusimamia makubaliano ya wabunge na maelekezo ya Chama.
Mnadhimu wa kambi ya upinzani Ester, Ester Bulaya ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter kuwa anaunga mkono anapaswa kujiuzulu.
Wabunge wa Chadema wamemtaka David Silinde ajiuzulu Nafasi zake zote za Uongozi kwa kushindwa kusimamia makubaliano ya wabunge na Maelekezo ya Chama . Kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Naunga Mkono anapaswa kujiuzulu.— ester amos bulaya (@esteramosbulaya) May 5, 2020
Wabunge wa Chadema pia Wamemtaka Mh Mariam Msabaha Ajiuzuru nafasi yake ya ujumbe wa Kamati Kuu kwa kushindwa kufuata makubaliano ya wabunge na Maelekezo ya Chama, Mariamu Msabaha alipata nafasi hiyo kwa kuchaguliwa na Wabunge . Mimi kama Mnadhimu Naunga mkono— ester amos bulaya (@esteramosbulaya) May 5, 2020
Its unconstitutional, Hauna Mamlaka hiyo.
ReplyDeleteNa Nyie wote mliomsikiliza Uamuzi wa mtu mmoja ambae hajaleta Hoja Bungeni na Kutengenezewa utaratibu wa kibunge Mmefanya Kosa Na ni kunyume cha taratibu na Miongozo ya Bunge. Hamuwezi Kiholela Kuacha kufika Bungeni na Kuendelea kujadili Bajeti. Sababu na Kibali hamkupata to Bunge. Kwa Hivyo utoro wenu is a Breach. Na Posho Hamtolipwa.
Na wabunge wazalendo wenye kujua majukumu yao na wananchi wapiga kura wao wamewakilisha ipasavyo.
Ester na Timu yetu mtarudi majimboni kuwambia nini wapiga kura wenu?
Mnasikitisha...!!! tena sana, Naonea HURUMA KWA JINSI MSIVYO JIELEWA.
POLENI.. SISI NI MBELE KWA MBELE MPAKA KUHITIMISHA VIKAO VYA BAJETI.
AJENDA YENU IMEGONGA MWAMBA...!!! NA POSHO PIA IKO HATARINI.. SI MMEMSIKIA.
SHAURI YENU. MSISEME HATUKUWAONYA.
TZ OYEEE... WAZALENDO OYEEE....!!!!