Mkurugenzi wa kitengo cha kuzuia Magonjwa yasiyo ambukiza wa Shirika la Afya Dunia (WHO), Dk. Mwele Malecela amesema unapoingiza sampuli ambazo sio zenyewe kwenye kipimo cha Covid majibu yatakuwa hayana mantiki.
Dk. Malecela aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr) kabla ya kutumbuliwa na Rais John Magufuli.
“Kipimo ulichokicalibrate kwa akili ya Covid kitapima Covid ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki,”
Juzi Rais John Magufuli alidema kwenye maabara ambayo inapima virusi vya Corona walipeleka sampuli mbalimbali ikiwemo wanyama , ndege na mapapai bila wenyewe kujua jambo la ajabu majibu yametoka wana CoronaKipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki! https://t.co/DtmLPy6ZFN— Mwele Malecela (@mwelentuli) May 4, 2020