Donald Trump Afuata Nyayo za Rais Mafuguli..."Hakuna cha Lockdown Nataka Kazi Marekani Ziendelee"

"Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata hiyo China”-Rais Wa Marekani Donald Trump

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nakwambia,Mwenyezi Mungu Katuletea Magu.

    Original Ngosha..!! Made in Tanzania.

    Wa kwanza Ughaibuni kumfata alikuwa Narendra Modi. Huwezi amini. Halafu napita Amsterdam a random guy from Usalama , ananiuliza Unamjua Magufuli.

    Nikaji ni Raisi wangu. Aliji what a Leader. He should Rule the world.

    wengi wanamfatilia JPM katika nyanja tofauti hasa kwa Uzalendo Magu wetu si mbinafsi na Mtaka kuleta Maendeleo ya kweli na ni Mchapa Kazi Allah akupe afya na Umuri .

    he is An african leadership Game changer
    Hababaiki na Anajiamini @ All Time.

    Chinde chonde tumuombe Aendelle atleast 15 Years amalize aliyo anza kabla Mafisadi hawajafufuka.

    Magu Baba. Tunakuomba uendelee kututumikia sisi wanyonge.
    Historia yako itaandikwa kwa Dhahabu.

    Allah akulinde na Mahasidi wanapo Husudu

    He is Firm as We. We will prevail and defeat Corrona at all Level. Tumtangulize Mungu, AT ALL TIME.
    YEYE NDIYE MUWEZA NA MWINGI WA REHEMA
    YEYE NIYE MLETAJI NA YEYE NDIYE MKINGAJI

    TUENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI NA USHAURI.

    Ramadhan Kareem

    ReplyDelete
  2. WANAO SUBIRI, WATASUBIRI SANA...!!!!

    MWASINUKA MWAHA? ALE, WELLA WELAA.
    MILIMONYI MWAHA? AGWE ILIBAHO MISWANO.
    WADODO KUKAYA... MWAKULIA CHICHI?

    Nakwambia Mwenyezi Mungu Katuletea Magu.

    Original Ngosha..!! Made in Tanzania.

    Wa kwanza Ughaibuni kumfata alikuwa Narendra Modi. Huwezi amini. Halafu napita Amsterdam a random guy from Usalama , ananiuliza Unamjua Magufuli.

    Nikaji ni Raisi wangu. Aliji what a Leader. He should Rule the world.

    wengi wanamfatilia JPM katika nyanja tofauti hasa kwa Uzalendo Magu wetu si mbinafsi na Mtaka kuleta Maendeleo ya kweli na ni Mchapa Kazi Allah akupe afya na Umuri .

    he is An african leadership Game changer
    Hababaiki na Anajiamini @ All Time.

    Chinde chonde tumuombe Aendelle atleast 15 Years amalize aliyo anza kabla Mafisadi hawajafufuka.

    Magu Baba. Tunakuomba uendelee kututumikia sisi wanyonge.
    Historia yako itaandikwa kwa Dhahabu.

    Allah akulinde na Mahasidi wanapo Husudu

    He is Firm as We. We will prevail and defeat Corrona at all Level. Tumtangulize Mungu, AT ALL TIME.
    YEYE NDIYE MUWEZA NA MWINGI WA REHEMA
    YEYE NIYE MLETAJI NA YEYE NDIYE MKINGAJI

    TUENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI NA USHAURI.

    Ramadhan Kareem

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad