Donald Trump: "Leo tumetambua fika ujumbe kuhusu udugu katika Uislamu




Rais wa Marekani , Donald Trump amewapongeza waislamu ulimwenguni kote katika ujumbe wake wa siku kuu ya kusherehekea kumalizika kwa mwezi mtuku wa Ramadhani.

Katika ujumbe wake , rais Trump yeye na familia yake amesema kuwa wanawatakia waislamu nchini Marekani na ulimwenguni kote siku kuu njema ya Eid al Fitr.

Rais Trump ameendelea akisema kwamba licha ya kuwa katika kipindi kigumu hiki cha kukabiliana na virusi vya corona, waumini wanaendelea kumuomba muumba kuondoa janga hili. 

Tunawattakia siku kuu njema  ya Eid waislamu wote ulimwwnguni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad