Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.
Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.
Dr Kigwangalla Asema Afya ni Swala Binafsi Kila Mtu Apambanie Afya Yake, Atoa Dawa yake ya Majani inayotibu Corona
0
May 12, 2020
Tags