Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amehoji ni kwa nini mtu anamsingizi mwenzake kosa la jinai lisilokuwa na dhamana.
“Mtu anayeandika hiyo charge sheet ni mtu wa aina gani? Na anadhani analinda nini? Ili iweje?,” alihoji Fatma katika ukurasa wake wa twitter.
“Usiku unalala kweli? Anaelewa athari ya kitendo hicho kwa mfumo wa haki?,”
Fatma aliandika ujumbe huu “Nina swali moja ya kuuliza: ni nini kinachofanya mtu amsingizie mwenzake kosa la jinai lisilokuwa na dhamana? Mtu anayeandika hiyo charge sheet ni mtu wa aina gani? Na anadhani analinda nini? Ili iweje? Usiku unalala kweli? Anaelewa athari ya kitendo hicho kwa mfumo wa haki?,”
Nina Swali moja ya kuuliza: Ni nini kinachofanya MTU amsingizie mwenzake kosa la JINAI lisilokuwa na DHAMANA? Mtu anayeandika hiyo CHARGE SHEET ni mtu wa aina gani? Na anadhani analindi nini? Ili iweje? Usiku analala kweli? Anaelewa ATHARI ya kitendo hicho kwa MFUMO WA HAKI?— fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) May 13, 2020