Fatma Karume Amehoji Anayehusika Kubambika KESI ni mtu wa Aina Gani na Je Usiku Analala Kweli?



Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amehoji ni kwa nini mtu anamsingizi mwenzake kosa la jinai lisilokuwa na dhamana.

“Mtu anayeandika hiyo charge sheet ni mtu wa aina gani? Na anadhani analinda nini?  Ili iweje?,” alihoji Fatma katika ukurasa wake wa twitter.

“Usiku unalala kweli? Anaelewa athari ya kitendo hicho kwa mfumo wa haki?,”

Fatma aliandika ujumbe huu “Nina swali moja ya kuuliza: ni nini kinachofanya mtu amsingizie mwenzake kosa la jinai lisilokuwa na dhamana? Mtu anayeandika hiyo charge sheet ni mtu wa aina gani? Na anadhani analinda nini? Ili iweje? Usiku unalala kweli? Anaelewa athari ya kitendo hicho kwa mfumo wa haki?,”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad