Kakobe amsaka aliyedaiwa 'kulala na Gwajima' | East Africa TelevisionAskofu Mkuu wa kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ameibuka majadala mtandaoni baada ya kusema yeye hawezi kuugua ugonjwa wa corona huku akiomba ruhusa ya kwenda kuwaombea waathirika wa virusi hivyo.
Akiwa katika Muhubiri Gwajima anasema amemuandikia barua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuomba ruhusa maalumu ya kuwaombea wagonjwa wa corona atavaa PPE (vifaa kinga) na hata akiachwa huko hatougua.
“Nikiongea Mungu anaponya wanaanza kunijadili, nachukua hatua ya pili, nimemuandikia Waziri Mkuu Majaliwa anipe ruhusa maalum nikawaombee wagojwa wa covid-19, aniache pale uone kama nitakuwa na corona!, kama Madaktari wanavishwa PPE, nitavaa niende”- Gwajima
"Nikiongea Mungu anaponya wanaanza kunijadili, nachukua hatua ya pili, nimemuandikia Waziri Mkuu Majaliwa anipe ruhusa maalum nikawaombee wagojwa wa covid-19, aniache pale uone kama nitakuwa na corona!, kama Madaktari wanavishwa PPE, nitavaa niende”- Gwajima— millardayo (@millardayo) May 11, 2020
(📹 via RudishaTV) pic.twitter.com/ZMx6HEJVFx