Gumzo: Askofu Gwajima Ajimwambafai Hawezi Kuugua Corona


Gumzo: Askofu Gwajima Ajimwambafai Hawezi Kuugua Corona
Kakobe amsaka aliyedaiwa 'kulala na Gwajima' | East Africa TelevisionAskofu Mkuu wa kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ameibuka majadala mtandaoni baada ya kusema yeye hawezi kuugua ugonjwa wa corona huku akiomba ruhusa ya kwenda kuwaombea waathirika wa virusi hivyo.

Akiwa katika Muhubiri Gwajima anasema amemuandikia barua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuomba ruhusa maalumu ya kuwaombea wagonjwa wa corona atavaa PPE (vifaa kinga) na hata akiachwa huko hatougua.

“Nikiongea Mungu anaponya wanaanza kunijadili, nachukua hatua ya pili, nimemuandikia Waziri Mkuu Majaliwa anipe ruhusa maalum nikawaombee wagojwa wa covid-19, aniache pale uone kama nitakuwa na corona!, kama Madaktari wanavishwa PPE, nitavaa niende”- Gwajima
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad