Habari Njema...Vipimo vya Mara ya PILI vya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro RC Mghwira Vyaonesha Amepona Corona



Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amepona ugonjwa wa #COVID19 aliothibitika kuwa nao mnamo Aprili 29, 2020

Imeelezwa kuwa majibu ya vipimo vya mara ya pili alivyofanyiwa Dkt. Mghwira yanaonesha hana maambukizi ya ugonjwa huo (negative)
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad