Hali ilivyo Mpakani Mwa Tanzania na KENYA....Madereva Wajipikia Futari Kando ya Magari yao

Dereva wa lori akiandaa futari kando ya lori lake wakati anasubiri kupimwa COVID-19 kabla ya kuingia nchini Kenya ikiwa ni utaratibu wa lazima uliowekwa kwa madereva wote kuhakikisha wanapimwa katika eneo hilo la Namanga, kaskazini mwa Tanzania

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad