Halimaa Mdee Asema Watampigania Mdude Hata Kama Haki Yake itachelewa


Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, amesema watampigania mwanachama wao Nyagali Mdude hata kama haki yake itachelewa.

“Kamanda @chadema Mdude tutakupigania hata kama haki yako itachelewa … Hatutachoka walijaribu kukuua mara tatu, Mungu akakataa,” aliandika Mdee katika ukurasa wake wa twitter

“Eti leo umekuwa mhujumu uchumi eti nawe unashughulika na dawa za kulevya? Giza haiwezi shida nuru. Pambazuko linakaribia,” aliandika Mdee

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ahaa, sasa hili Genge na wewe kigori upo.?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad