Heche Afuguka Sakala la Idriss Sultan..Ahoji Polisi Kumshikilia Mahabusu zaidi ya Siku Tatu


Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amehoji kitendo cha polisi kukaa na mahabusu zaidi ya masaa yaliyowekwa na sheria za nchi.

“Lengo ni nini? Ni kumtesa au kumyima uhuru? Chombo cha kisheria kinachotakiwa kutoa adhabu nchi hii ni mahakamani na sio polisi,” Heche aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake.

“Kutofuata sheria, kutotenda haki ni chanjo cha fujo kwa nchi nyingi,” ameandika Heche.

Aliongezea kuwa “Kwa nini polisi wakae na mahabusu zaidi ya masaa yaliyowekwa na sheria zetu? Lengo ni nini? Ni kumtesa au kumnyima uhuru? Chombo cha kisheria kinachotakiwa kutoa adhabu nchi hii ni mahakama na sio polisi .. Kutofuata sheria, kutotendi haki ni chanzo cha fujo kwa nchi nyingi,”
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heche, utaandia mengi, kama jitto.
    Iwe Jua iwe mvua kidume amesha wadia

    Tarime Vijijini utanusa harufu tuu.

    Hakikisha shahada zako ni za kutambulika ili uweze kupata shule ya Sengerema utufundishie vijana. na mshahara unalipwa on time katika Awamu ya Sita.

    Tarime oyeeee!!! Waitara Safiiiii..!!!

    ReplyDelete
  2. Mh Heche, ulikuwa lojingi au mjengo jijini Dodoma..??

    Bbunge ndiyo zimebaki siku za Kuhesabu kwa Vidole.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad