Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amesema asilimia 80 ya mahabusu walipaswa kuwa majumbani kwao.
Heche amesema mahabusu wengi wako ndani kwa sababu ya mfumo mbovu wa upelelezi, uonevu, ubambikaji wa kesi, ucheleweshaji kesi na mengine mengi.
“Wewe unaesema mahabusu waanze kufanya kazi kama wafubgwa… Unajua kwamba 80% ya mahabusu walipaswa kuwa majumbani kwao,” aliandika Heche katika ukurasa wake wa twitter.
Jana Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kuwa mahabusu waanze kufanya kazi kama wafungwa.
Wewe unaesema mahabusu waanze kufanya kazi kama wafungwa..... unajua kwamba 80% ya mahabusu walipaswa kuwa majumbani kwao... wengi wako ndani kwasababu ya mfumo mbovu wa upelelezi, uonevu, ubambikizaji wa kesi, ucheleweshwaji kesi na mengine mengi...— John Heche (@HecheJohn) May 31, 2020
Kwa Taarifa yenu Bunge litavunjwa siku
ReplyDeleteza Karibuni, ndiyo itakuwa ukomo wenu
kuwawakilisha walio kuchagueni.
Hii maana yake ni nini.?
Una Funga kujihusiha umbwabjikaji
wa kubeza Serikali iliyo Madarakani.
na msijifikirie kwamba mtahamia twitter na sinapu chati au fesibuku
kuendeleza Utovu wa Nidhamu na Ukosefu
wa Heshima na kuto tii Mamlaka.
Fikisha huu ujumbe hapo Saccozini
na uwa taarifu wana saccos wote akiwepo
M/Kiti na Genge lake kuwa leseni ya
Kubeza ina expire katika wiki 3 zijazo
Ngoma kwenu kuufyata.
TCRA Na Mamlaka zote ikiwemo Uhamiaji
(Mama Makekele / Ali Mtanda) kuhakikisha hati nyekundu zinarudishwa
haraka iwezekanavyo to avoid misuse.
Amani na Utulivu wa Nchi yetu ni Jukumu letu Wazalendo wa Nchi hii. Umesikia Heche? IWE JUA IWE MVUA TARIME VIJIJI
TUNAINGIA KWA KISHINDO.
Wewe hata ukisema si nilishakuwa Mbunge na Posho Nilipata. Na Mafao nangoja. Ntanunua hata Kagali nifanye Texi. Tarime yetu hakuna taxi nyingi. Ntaomba Rizaa ya Wananchi tena.
DeleteHeeeh, hee heeee, mbona unakuwa
Deletekioja mtaani?..Wananchi wa wapi?
Wananchi wameshakuwa wajanja
baada ya kupata simu janja.
Wamejismatifonisha wakakuona
Utoro wako. Ulisha Rudisha Mil 2
zao walipa kodi BUNGENI..?
Wala Usijiaibishe kutaka Ridha
utapata kura mbili yako mwenyewe
na ya Shemela kwa Hesabu ni 2.
Jimbo lina Mwenyewe. Sasa kama si kujiaibisha ni nini? Heche.?
Heche, Kama ataridhia Msukuma, Basi ntakuombea Ajira ya uwe Kondakta Inspecta au kwa Ahmedi Shabiby. Unachagua Ipi. yote ni mabasi ya kiwango. au utingo Kugis. Ule kwa jasho lako. fanya Kazi ,Acha Kazi, uone Kazi, kupata Kazi, si aibu kutafuta kazi ili upate Kazi Heche.
ReplyDeleteKumbuka vigezo na Masharti kuzingatiwa
MH LWAKATARE KWENDA CUF...!!
ReplyDeleteWhat A Choice...!!!!
Saccozi ya Mtowe inaangamia kutoka katika Ulingo wa Siasa Malumbano of their Choice.
Lwakatare alikuwa ni Miongoni mwa Nguzo za Siasa Bora katika Sakozi.
Akili zake timamu na ukataaji wa Kupelekeshwa ndizo hisia zilizompelekea
kujinasua kimawazo kutoka Gengeni kwa Wapotoshaji. Hongera sana Mh Lwakatare.
Silinde/Komu/ Lihualikali/Selazini/Lwakatare.
ReplyDeleteFirimbi yenu y Fauloyumeisikia na Tumeielewa , Asanteni sana.
Sacoozi ya Familia inaumbuka. Hizi ni baadhi ya akaunti ambazo zimekuwa akichotea Ruzuku na Posho
NBC Account # 011103007155
ECOBANK Account# 0020055401089601
Zingine ziko Ughaibuni ambazo Mabeberu huwa wanamoatioa Huyu Kibaraka akishirikiana na wenzake katika Genge la Uvunjifu wa amani yetu na Usalama wake kiasi kwamba taifa letu lifikie hatima ya kuuzwa.
Mbongo yuko kazini na Timu yake Mahiri. Huwa hawalazi zege