Mbunge wa vijijini (Chadema), John Heche, amesema siasa ni kanuni sio ajira wala biashara ya kutengeneza faida.
“Ukiwa kwenye siasa za mageuzi na kujenga demokrasia kuna maovu na uonevu mwingi sana unatokea hapa Tanzania.
“Jitahidi kudhibiti njaa zako uheshimike. Vinginevyo utapata sifa za muda mfupi na aibu ya milele,” aliandika Heche katika ukurasa wake wa twitter.
Siasa ni principles, siasa sio ajira, wala sio biashara ya kutengeneza faida. Ukiwa kwenye siasa za mageuzi na kujenga demokrasia kuna maovu na uonevu mwingi sana unatendewa hasa Tz . Jitahidi dhibiti njaa zako utaheshimika. Vinginevyo utapata sifa za mda mfupi na aibu ya milele.— John Heche (@HecheJohn) May 4, 2020
HECHE HAYA MANENO UNGEMWAMBIE ALEYE KUWA MBUNGE WA SINGIDA MASHARIKI.
ReplyDeleteSIJUI KAMA ATAKUEWLEWA MAANA YAKE ITS A TURN 0F NYUZI 180 YA JINSI ANAVYO AMINI YEYE. KAZI KWAKO NA YEYE. MJULIE HALI
UMUELEZE FIKRA NA MSIMAMO WAKO. WEWE UKIRUDI KULIMA YEYE UMTAFUTIE SHULE YA KUFUNDISHA AJIRI ZIKO KEM KEM.