Hotuba ya Chedama yakataliwa Bungeni kisa aliyeiandika, masharti
3
May 15, 2020
Spika wa Bunge Job Ndugai ametoa sababu za kutoruhusu hotuba ya upinzani kusomwa Bungeni akisema imeandaliwa na mtu ambaye haruhusiwi kuingia Bungeni.
Amesema mwandishi wa Hotuba hiyo (Halima Mdee) ni miongoni mwa ambao hawatuhusiwi kuingia bungeni haiwezekani hotuba yake ipitishwe dirishani.
Masharti yaliyotolewa na Spika Ndugai kwa wabunge wa Chadema baada ya kutangaza wiki mbili za kutoingia bungeni ni kurudisha posho walizopewa na kuwasilisha vipimo kuwa hawana ugonjwa huo.
Aidha Leo Mei 15 Wizara ya fedha ilikuwa ikiwasilisha hotuba ya bajiti yake ya mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo kambi rasmi ya upinzani bungeni ilipaswa nayo kuwasilisha hotuba yake.
Tags
Mdee Halima, Wacha Ubabaishaji.wewe NI Kigori mzuri bado unadai.
ReplyDeleteSasa usiendelee kujipotezea wakati ili tupange tunafanyaje kuanzisha Familia.
Kama Uko tiyari tupange tunafanyaje kusaidiana.
BUNGE NDIYO BASI TENA JUNI IMESHAWADIA.
Itathmini hii ofa. Sitoi Mara mbili. Muda unakwenda na umuri pia. Na kolona ndani KATIKA kwenda kwa umuri. Be serious.
Mdee Halima, Wacha Ubabaishaji.wewe NI Kigori mzuri bado unadai.
ReplyDeleteSasa usiendelee kujipotezea wakati ili tupange tunafanyaje kuanzisha Familia.
Kama Uko tiyari tupange tunafanyaje kusaidiana.
BUNGE NDIYO BASI TENA JUNI IMESHAWADIA.
Itathmini hii ofa. Sitoi Mara mbili. Muda unakwenda na umuri pia. Na kolona ndani KATIKA kwenda kwa umuri. Be serious.
Hongera Lwakatare, Ulishtukia Picha mapema yeye na wenzake wanaojielewa.
ReplyDeleteHao wengine wa Kupelekeshwa wamezirudisha Pesa Zetu Tunashukuru ila ndiyo Imekula kwao.
Nawapa nasaha Sigara Kubwa sio nzuri inafanya maamuzi ndivyo sivyo na mihemuko na uamuzi Batili ndiyo vile na ndiyo kilichotokea.
Sasa wao Kolona imepiga Kona. Ila ona mchacho na mkato wa kokotoo . nasikia zile posho zilizochukuliwa na ila Familia yake itajaribu kuwagawia hawa aliowatosa. Sijui kama itakua yote au atawakata kama kawaida yake.
Hongereni Waheshimiwa Makini Mnaojitabua na Kutambulika na wapiga kura wenu.
NCCR oyeeeee.... Mbatia Oyeee.
Kijani Safi...!!!!