“Mtu wa kwanza aliyeondoka na corona kwa historia ya Tanzania alikuwa Mtu wangu wa karibu na maneno yalikuwa mengi na baada ya zile taarifa nilikaa ndani siku 30 bila kutoka hata nje ya geti, nikagundua kukaa ndani kwa kipindi kirefu ni jambo zito sana, nilijiuliza waliopo jela inakuwaje?”-@josephkusaga, CEO wa Clouds Media Group
Joseph Kusaga "Rafiki Yangu Alivyofariki Kwa Corona Nilikaa Ndani Mwezi Mzima"
0
May 04, 2020

Tags