Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mpaluka Nyagali Mdude (32) ambaye ni Kada wa CHADEMA Maarufu kwa jina la Mdude Chadema Mkazi wa Itezi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kupatikana na Unga unaodhaniwa ni dawa za kulevya Aina ya Heroin.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano May 13, 2020, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Ulirich O. Matei amesema mtuhumiwa alikamatwa May.10.2020 Jioni katika msako ulioyofanyika maeneo ya Kadege Stendi, kata ya Forest, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya.
Aidha, RPC Matei amesema mtuhumiwa huyo anakabiliwa na kosa jingine la Uchochezi na upelelezi wa shauri hilo bado unaendelea.
Genge la Mateja, Ukweli unaanza Kudhihirika. Wengine walikuwa hawaingii
ReplyDeleteBungeni Bila Kupiga Msokoto. Halafu anacho zungumza hakina Kichwa wala Miguu.
This is the Begining of The End.
Mungua ailaze pema Roho ya Desamburo.
Hawa wababaishaji wamesha fikia Ukingoni
Mbatia Tunakutegemea Kuwa Mpinzani na Mzalendo mwenye Kuipenda Nchi yake na Si Malumbano . Tuliyoyaona kwa Hili Genge.
Genge la Mateja,
ReplyDeleteUkweli unaanza Kudhihirika. Wengine walikuwa hawaingii
Bungeni Bila Kupiga Msokoto. Halafu anacho zungumza hakina Kichwa wala Miguu.
This is the Begining of The End.
Mungua ailaze pema Roho ya Desamburo.
Hawa wababaishaji wamesha fikia Ukingoni
Mbatia Tunakutegemea Kuwa Mpinzani na Mzalendo mwenye Kuipenda Nchi yake na Si Malumbano . Tuliyoyaona kwa Hili Genge.
Mdude Pole, Madawa kazi Mbaya.
ReplyDeleteWamekuchoma washikaji...!!
Soma alama za Nyakati Mdude..!!
Sasa mimi kama ndiyo wewe.. Unawatosa wote waliopo katika mlolongo hapo Chamani.. Itakuwaje wewe tu..??
Mpaluka Nyagali, Tena unawachoma wote waliokuchoma ikiwemo pesa za Mdude zilikuwa zinaimarisha vipi Chamani na Syndicate yote ya uopokeaji utokeaji na utakatishaji wake. Na vipi Gambling House inavyou husika mpaka kuziwezesha kurudi Mitaani.
ReplyDeleteMdude oyeee!! Yatoe yote na Muda Husika