"Kenya Haiangalii Tanzania Kama Jirani Bali Ndugu"- Balozi Kazungu



“Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia JPM, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli” -Balozi Kazungu
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya Si ya mtandaoni.

    Sisi kama anavyo Sema Balozi NI Ndugu Tena WA Damu.

    Msianze kupotosha na kujibishana Hapa mtandaoni.

    Uhuru NI wetu na MAGU NI wetu. Au kirahisi NI WAO NI sisi na sisi NI WAO.

    Kenya Oyeeeee. Tanzania Oyeee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad