KERO za Michango ya Sherehe Katika Jamii ya Watanzania


Wakuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu.

Watu wanakutana kila wiki mara moja kwenye baadhi ya bar, wanakunywa na kusaza katika hivyo vikao vya maandalizi, vikao hivyo huchukua miezi miwili hadi mitatu. Na katika vikao hivyo watu hutoa ahadi ya kiasi cha fedha watakachotoa kwa ajili ya harasi, wanaume hutoa michango ya bachela parti na harusi kuu, na kina dada hutoa michango ya sendi off, bridoshawa, kichenipati, na harusi kuu.

Kwa kifupi zoezi hili linakula hela nyingi sana, nimeambiwa sometimes you can be asked to contribute to more than 10 wedding a year, na ukitoa chini ya laki moja unaonekana mtu wa hovyo hovyo.

Jamani ndugu zangu naombeni mwongozo mimi naona kama hii ni too much.

Badala ya michango ya vikao vya harusi basi tuihamishie kwenye Elimu na Matibabu.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naichukia Sana Mila hui.harusi si dharura Kama vile ajali, magonjwa, misiba au maafa.
    Suomi kwanini uchangishe wakati Jambo lenyewe n choice na umeplan na muda na idadi ya waalikwa na Kula ukitakacho.
    Kwanini basi unachangisha wakati swala ni laki, mnufaikaji no wewe, pkan nzima umechagua wewe labda na family yako na wanaokuhusu.
    Kwanini unachagua makuu kunbe hata uwezo wenyewe huna? Love engineering no nini hasa? Je unataka kumdanganya Nani kuwa wewe no wa uwezo wa juu Sana kiasi cha kufanya party Serena Hotel? Wakati siku zote watu wanajua umepanga nyumba? Halafu ukitoka Serena unarudi nyumbani mara mchele hautoshi, mkate umeisha, bills hujalipa, mama yako anadaiwa au anadai msaada Fulani.
    Unaweza kufanya harusi nzuri Sana Serena Hotel,kupitia mshahara wako huku ukialika watu kumi muhimu au ishirini
    Kama unahitaji wengi basi plan vizuri na utakakozitoa hela bika ya kugeuka mzigo au ushmumbufu Kwa wengine.kama unataka kuonyesha ushujaa, basi huo wa kutegemea michango no feki!
    Pia kuna webgine eti birthday tu , ndo anafikiri no mlango wa kukusanya hela za watu
    As Nakuombea Leo ni birthday yangu, kunbe anaomba zawadi.kunbuka zawafi haiombwi na waks mtu hachagui zawafi ni Bora useme nakualika kwenye birthday yangu, then mualikwa atakupa na zawafi. Hiyo ifanyike na Kwa harusi pia.
    Wengine hata misiba wanaiabuse wanaona ndo chance ya uchumi.
    Anakupangia kiasi maalum cha pesa, anasema ni za catering, kusafiri, nk kumbe wala hakukuwa na catering
    Tusioneane kupitia shughuli. Mwingine alifiwa zamani anadimandi apewe hela, wakati wengine pia wakifiwa na wala hawawadai watu wawalipe pea ya misiba uliyowahi kuwapata.Kweli tubadilike SASA.vwatu Wana malengo na pesa zao na Wana majukumu Yao tusiwe Keri kwao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad