KITANDA Hakizai Haramu...Ila Kwa Huyu Mwanamke Hii ni Zaidi ya Haramu...Soma Hii Stori


Huko Nigeria mwanamke mmoja aliolewa na mwanaume wa kwanza akaachika,akaenda kwa mume mwingine ambaye alikaa nae kwa miezi 8 na wakafanikiwa kupata mtoto mmoja. Mtoto alipofikisha miaka mitatu mume wa kwanza akasema ni wake na mume wa pili hivyo hivyo lakini walipopimwa vinasaba (DNA) ikaonekana mtoto hawahusu wote wawili.

Ungekutwa kwenye hali kama hii ungechukua hatua gani?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ningeachana tu na huyo demu japo inauma sana shauri ukisema utaua na wewe utaishia wapi?Utasema afadhali niende jela sawa lakini unaujua uchungu na tabu za kukaa jela?Usikie hivyo hivyo tu maumivu ya mapenzi ni siku 90 tu (miezi 3)unatulia na maisha yanaendelea kama kawa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad