Lema Acharuka "Kuna Watu Wanafikiri Kufa Kwa Demokradia ni Hasara Kwa Chadema"
2
May 05, 2020
Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema amesema wapo baadhi ya watu wanadhani kifo cha Demokrasia ni hasara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Lema amesema wajibu wa kulinda demokrasia ni kazi ya kila mtu wanaokosa nidhamu katika kusimamia kanuni wameleta majozi.
Mbunge huyo aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter kuwa endapo ukawafundisha watoto wako kujitegemea alafu wakashindwa kuheshimu haki watabaki kuwa watumwa.
“Ukiwafundisha watoto wako kujitegemea alafu wasijue kuheshimu haki bado wataendelea kuwa watumwa,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa twitter
Tags
IMEKULA KWAKO GODILESI....!!!
ReplyDeleteWALIO SHIRIKI WOTE NI WAZALENDO WALIO AMUA KULINDA HAKI ZA WAPIGA KURA WAO NA SIYO KIONGOZI WA CHAMA CHAO.
NI UKWELI USIO PINGIKA KWAMBA WALIO WALETA BUNGENI NI WANANCHI WALIOWAPA IMANI NA SIYO MZOWE.
Its unconstitutional, Hauna Mamlaka hiyo.
Na Nyie wote mliomsikiliza Uamuzi wa mtu mmoja ambae hajaleta Hoja Bungeni na Kutengenezewa utaratibu wa kibunge Mmefanya Kosa Na ni kunyume cha taratibu na Miongozo ya Bunge. Hamuwezi Kiholela Kuacha kufika Bungeni na Kuendelea kujadili Bajeti. Sababu na Kibali hamkupata toka kwa Bunge. Kwa Hivyo utoro wenu is a Breach. Na Posho Hamtolipwa.
Na wabunge wazalendo wenye kujua majukumu yao na wananchi wapiga kura wao wamewakilisha ipasavyo.
Ester na Timu yetu mtarudi majimboni kuwambia nini wapiga kura wenu?
Mnasikitisha...!!! tena sana, Naonea HURUMA KWA JINSI MSIVYO JIELEWA.
POLENI.. SISI NI MBELE KWA MBELE MPAKA KUHITIMISHA VIKAO VYA BAJETI.
AJENDA YENU IMEGONGA MWAMBA...!!! NA POSHO PIA IKO HATARINI.. SI MMEMSIKIA.
SHAURI YENU. MSISEME HATUKUWAONYA.
TZ OYEEE... WAZALENDO OYEEE....!!!!
INASIKITISHA KUKUONA RASTAMANI GODILESSI
ReplyDeleteINAKULA KWAKO NA BADO HUJIELEWI.
WALIO SHIRIKI WOTE NI WAZALENDO WALIO AMUA KULINDA HAKI ZA WAPIGA KURA WAO NA SIYO KIONGOZI WA CHAMA CHAO.