Lema ahoji kurejeshwa kwa Mwambe bunge asema ni ukiukwaji wa sheria


Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amehoji kitendo cha kurejeshwa bungeni aliyekuwa Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe, ambaye alitangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hadharani.

“Cecil Mwambe amerudi kuendelea kuwa mbunge hata baada ya kujiunga na CCM hadharani?. This is more than impunity,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa Twitter.

Aliongezea kuwa ” Hakuna tena sheria? Nchi imeharibika mbele ya macho yetu! Idara ya usalama wa taifa inafanya kitu gani na kushauri nini?,” aluhoji Lema

Lema amesema kitendo hicho ni uasi mkubwa dhidi ya utawala wa sheria.

Jana Mwambe alitinga bungeni baada ya Spika wa Bunge kumuambia arejeshee na kuendekea na shughuli za bunge.

Baadhi ya wadau walikuwa wakihoji Mwambe atakuwa ni mbunge wa chama gani bungeni licha ya kujiudhuru na kuhamia CCM.

Mwambe amesema kuwa kwa sasa amerejea Bungeni rasmi kumalizia muda wake wa Ubunge kwa kipindi kilichobaki na kwamba yeye ni mwanachama halali wa CCM, hivyo uchaguzi ujao atagombea kupitia tiketi ya CCM.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. RASI TAMANI, GODI LESI ALIYEKUMBUNGE WA TWITANA SNAPU CHATI.

    ROHO YA KOROSHO. SI UNAJUA KURA NI HAKII YA WANANCHI KUMCHAGUA MWAKILISHI WAO ATAKAE SIMAMIA NA KUWASILISHA ADHAA ZA WATU WALIOMWAMINI. SASA KWA NDDA NI CECIL MWAAMBE MPAKA JUNI. NAWEWE ENDELEA KUCHAJI BETILI NA KUONGEZA BANDO.

    INAKULA KWAKO NA UTOLO WAKO.

    UMEMSIKIA MH. MAKONDA WAZULULAJI ATAKUFANYENI NINI.?

    GAMBO KIBOKO YAkO...!! TtAFUTA AJIRA NA MIL 2 ZA PER DIM ULUDISHE HALAKA USINGOJE KUKATWA KOKOTOO.

    HIYO SUTI YANGU LINI UTANIRUDISHIA..??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duuhhhh... Kumbe hata Hiyo Suti Kazima...!!! YAKUAZIMA

      Usikubali mpaka aIpeleke Kwa Laundiri .. Kolona Baba.

      au mwachie achukue sadaka. Au hasala kubwa tufanye mchango?

      Pia anatakiwa aludishe Posho Baba.

      Lemwa mbona unajitafutia mastresi na plesha.. wewe tunakusaidiaje Bhana..!!!

      Kusho kulia kotee inakula kwako.!!

      Delete
  2. Duuhhhh... Kumbe hata Hiyo Suti Kazima...!!! YAKUAZIMA

    Usikubali mpaka aIpeleke Kwa Laundiri .. Kolona Baba.

    au mwachie achukue sadaka. Au hasala kubwa tufanye mchango?

    Pia anatakiwa aludishe Posho Baba.

    Lemwa mbona unajitafutia mastresi na plesha.. wewe tunakusaidiaje Bhana..!!!

    Kusho kulia kotee inakula kwako.!!

    ReplyDelete
  3. Ajenda yenu imegonga mwamba.
    Kama mlidhani, mhemko wenu huu wa utoro.
    Bungeli lingesimama na nyinyi kupata muda wa kuendelea kutanua na kuchukua posho za kodi zetu baada ya juni. Hilo si wakati huu wa JPJM.

    Bunge litafungwa might be even aa bit earlier or on time. Na ndiyo ukomo wenu na sidhani kwa kukosa sera na ajenda wananchi baada ya kuwajueni Hila zenu na kukosa Uzalendo na Nchi yenu. wamesha jifunza Kosa na Hawato rudia Kosa.

    Kwa Ujumla wake, Mmekula Huuuu.
    Na Viporo Juuu.

    MKATAFUTE AJIRA, KABLA HAMJAWA
    VIOJA MITAANI. NA SI AJABU UTEJA PIA.

    RUZUKU NA POSHO ZIKI KATIKA HAPO PATAMU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad