Lema Ashangazwa Makonda Kuitisha Disco “Mungu atakuwa disco gani?”


Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ameshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa  Dar es salaam Paul Makonda kuwataka wakazi wa mkoa huo kucheza Disco kama sehemu ya shukrani kwa Mungu

Kupitia ujumbe wake aliotuma kwenye mtandao wa Twitter Lema amesema kitendo hicho kinaweza kuleta adhabu kuu

“Mungu atakuwa disco gani kwa hapo Dar ?Dhihaka zenu zinanuka adhabu kuu” ameandika Lema

Lema ametoa kauli hiyo ikiwa ni masaa machache tangu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kuwataka wananchi wa mkoa huo kutumia siku ya jumapili kushukuru Mungu kwa kusherekea

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aka yangu Makonda
    Kwakuwa aliyetuponya ni Mungu
    Naomba shukrani zetu ziende kwake Kwa heshina anayostahili
    Tuliomba atuponye kupitia ibara
    Hivyo tunashukuru kupitia ibada na si disco

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad