Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema Tume ya Uchaguzi imetunga kanuni wakala wa kura sasa kupewa fomu ya matokeo ni hiari yao.
“Tuzuie uhuni unao endelea kuua utawala bora. Kuna gharama kubwa tuna weza kulipa ikiwemo vifo au kufungwa,” aliandika Lema.
Lema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter alisema wana wakati mgumu kuliko ule wa wakoloni.
“Haki itashinda lakini ni lazima tusimame tuhesabiwe,”, aliandika Lema.
TUME YA UCHAGUZI,imetunga kununi.Wakala wa kura sasa kupewa fomu ya matokeo ni hiari yao.Tuzuie uhuni unao endelea kuua utawala bora.Kuna gharama kubwa tuna weza kulipa ikiwemo vifo/kufungwa.Tuna wkt mgumu kuliko ule wa wakoloni.Haki ITASHINDA.Lakini ni lazima tusimame tuhesabiwe— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) May 30, 2020
aRUSHA oYEEE...!!!!
ReplyDeleterASTAMANI oYEEEE...!! TWITTER SAFI.?
UNAPUMZISHWA NA WANANCHI. GODILESI
Kwa Taarifa yenu Bunge litavunjwa siku
za Karibuni, ndiyo itakuwa ukomo wenu
kuwawakilisha walio kuchagueni.
Hii maana yake ni nini.?
Una Funga kujihusiha umbwabjikaji
wa kubeza Serikali iliyo Madarakani.
na msijifikirie kwamba mtahamia twitter na sinapu chati au fesibuku
kuendeleza Utovu wa Nidhamu na Ukosefu
wa Heshima na kuto tii Mamlaka.
Fikisha huu ujumbe hapo Saccozini
na uwataarifu wana saccos wote akiwepo
mnya Kiti na Genge lake kuwa leseni ya
Kubeza ina expire katika wiki 3 zijazo
Ngoma kwenu kuufyata.
TCRA Na Mamlaka zote ikiwemo Uhamiaji
(Mama Makekele / Ali Mtanda) kuhakikisha hati nyekundu zinarudishwa
haraka iwezekanavyo to avoid misuse.
Amani na Utulivu wa Nchi yetu ni Jukumu letu Wazalendo.
Juni imesha ingia.
ReplyDeleteUbunge umefikia Kikomo katika Maisha yako.
Jitathmini, utakumbukwa kwa lipi jema
ulilowafanyia wana Arusha?Jibu Unalo!!
Kwaheri nakutakia wateja wema katika
kibanda chako cha mtori hapo stendi.
TAHADHARI: Dogo, Sigara kubwa, Harufu ikisikika utakuwa MATATANI na vyombo vya ULINZI NA USALAMA.
2020 Oyeeee!!! Arusha Safiii...!!!
M.Gambo...Baba lao...Kiboko yao.!!!
MH LWAKATARE KWENDA CUF...!!
ReplyDeleteWhat A Choice...!!!!
Saccozi ya Mtowe inaangamia kutoka katika Ulingo wa Siasa Malumbano of their Choice.
Lwakatare alikuwa ni Miongoni mwa Nguzo za Siasa Bora katika Sakozi.
Akili zake timamu na ukataaji wa Kupelekeshwa ndizo hisia zilizompelekea
kujinasua kimawazo kutoka Gengeni kwa Wapotoshaji. Hongera sana Mh Lwakatare.