Madereva 19 waliotangazwa wana Corona Kenya, wakutwa Negative DSM



Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ametangaza kuwa madereva 19 waliotoka Tanzania, wakapimwa mpakani Namanga na Serikali ya Kenya kutangaza kuwa wana corona wamepimwa upya kwenye maabara Kuu ya Taifa Dar es salaam na kubainika kuwa hawana virusi hivyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad