Magari ya Mizigo Kutoka Kenya yazuiwa Kuingia Tanzania Kupitia Mpaka wa Horohoro


Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amepiga marufuku madereva wa magari ya mizigo ya kutoka Kenya kuingia nchini kupitia mpaka wa Horohoro. lakini magari yatakayokuwa njiani kuelekea nchi jirani za Congo, Rwanda, Zambia na kwingineko yataruhusiwa kupita. VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad