Mama Mghwira Aeleza Jinsi Jani la "IYOMBO" Lilivyomponya Corona


Corona
Tiba asili zinaendelea kuaminika na baadhi ya watu nchini katika mapambano ya #COVID19, na miongoni mwa wanaoamini tiba hizo ni Mkuu wa mkoa wa #Kilimanjaro Anna Mghwira ambaye alitangaza hivi karibuni kuambukizwa virusi vya corona lakini anasema ametumia Tiba asili ya Jani la Iyombo na sasa anaendelea vizuri kabisa ikiwa imepita wiki mbili tangu aripoti kupata maambukizi ya virusi vya #corona.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad