MAREKANI: Jumla watu 80,040 wafariki kwa corona




Vifo vya corona vimeendelea kuongezeka Marekani ambapo hadi asubuhi hii jumla ya waliofariki ni watu 80,040, maambukizi pia yameongezeka kufikia  1,347,318 na waliopona ni Watu 238,080, Uingereza vifo 31,587 na maambukizi 215,260 na Italia vifo 30,395 na maambukizi 218,268.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad