Marekani Yaishutumu CHINA Kudukua Tafiti za Chanjo ya Corona


Corona
Wataalamu wa Usalama Mrandaoni wa Marekani wameishutumu China kuwa inajaribu kudukua taarifa kuhusu tafiti zinazofanya za #COVID19

FBI na Idara ya Usalama imepanga kutoa onyo kwa wachina wanaoshutumiwa kudukua taasisi za Afya zinazofanya tafiti kugundua chanjo ya #CoronaVirus

Aidha, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya #China, Zhao Lijian amekanusha madai hayo akisema China iko thabiti katika kupinga uhalifu wote wa kidijitali
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad