Mbunge Godbless Lema Amjibu Ndugai "Kauli yake ni Dharura"

Mbunge wa Arusha Mjini, kupitia CHADEMA, Godbless Lema, amesema kuwa kauli aliyoitoa Spika wa Bunge Job Ndugai, kwamba wabunge wa CHADEMA wanapelekeshwa, si ya kweli na aliitoa kwa dharula kwa kuwa chama chake kinaongozwa na watu wanaojielewa na hivyo hakuna mtu wa kumpelekesha mwenzake.

Mbunge Lema ameyabainisha hayo leo Mei 4, 2020, wakati akizunguma na EATV&EA Radio Digital, kufuatia kauli ya Rais Magufuli ya kuzuia Wabunge wote ambao wamegoma kuhudhuria Bunge kutolipwa posho, ambapo Lema amesema uhai ni kila kitu na Corona imeua mwanafamilia wake hivyo hawezi kuleta mzaha.

"Kwanza siyo kweli, Wabunge wa CHADEMA hawapelekeshwi na mtu yeyote na ukitaka kujua sisi tuna Wabunge ndani ya chama wawili wametangaza kuhamia NCCR na hujasikia chama kimekaa, lakini maelekezo yalitolewa siku ambayo Waziri Mahiga alikuwa amefariki hivyo ilikuwa ni kauli ya dharula, na ndiyo maana Mwenyekiti amesema tunaendelea kuitafakari" amesema Mbunge Lema.

Aidha Lema ameongeza kuwa kulingana na hali ya maambukizi ilivyo kwa sasa, imefikia hatua hata yeye hachangamani na familia yake kwa kuwa amejitenga kwenye chumba chake pekee lengo likiwa ni kuiweka salama familia yake.

"Mimi hapa ninapoongea kwenye familia yetu tayari kuna mtu amekufa na ugonjwa huu, mimi hatari nimeiona kwa kina sana, mimi nimekuja nyumbani nimejitenga chumba na watoto wangu na siumwi na nina mtazama mke wangu kama Dada yangu".
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. THE RASTFARAIAN GODILESI UNATIA HURUMA SANA KWA KUTO JIELEWA. SIJUI KAMA IN GAMBO EFFECT AU NDIO SIGALA HAZIPATIKANI.
    ONA WENZAKO WENYE KUJIELEWA KINA

    LIJUAKALI/SELASINA NA WENZAO WALIO SHIRIKI WOTE NI WAZALENDO WALIO AMUA KULINDA HAKI ZA WAPIGA KURA WAO NA SIYO KIONGOZI WA CHAMA.

    NI UKWELI USIO PINGIKA KWAMBA WALIO WALETA BUNGENI NI WANANCHI WALIOWAPA IMANI NA SIYO MZOWE.

    Its unconstitutional Kukataza mahudhurioa na Hana Mamlaka hiyo.
    Na Wale wote waliomsikiliza Uamuzi wa mtu mmoja ambae hajaleta Hoja Bungeni na Kutengenezewa utaratibu wa kibunge Mmefanya Kosa Na ni kunyume cha taratibu na Miongozo ya Bunge. Hamuwezi Kiholela Kuacha kufika Bungeni na Kuendelea kujadili Bajeti. Sababu na Kibali hamkupata toka kwa Bunge. Kwa Hivyo utoro wenu is a Breach. Na Posho Hamtolipwa.

    Na wabunge wazalendo kama wewe mwenye kujua majukumu yenu na wananchi wapiga kura wenu mmewakilisha ipasavyo.

    Wenzenu watarudi majimboni kuwambia nini wapiga kura wao?

    Wanasikitisha...!!! tena sana, Nawonea HURUMA KWA JINSI WASIVYO JIELEWA.

    POLENI.. SISI NI MBELE KWA MBELE MPAKA KUHITIMISHA VIKAO VYA BAJETI.

    AJENDA YAO IMEGONGA MWAMBA...!!! NA POSHO PIA IKO HATARINI.. SI WAMEMSIKIA.

    SHAURI YAO. MSISEME HATUKUWAONYA.

    TZ OYEEE... WAZALENDO OYEEE....!!!!WENYEKUJIAMINI OYEEEE...!!

    WAPELEKESHWAJI NAO OYEE..!! SIJUI MIE.

    ReplyDelete
  2. THE RASTFARAIAN GODILESI UNATIA HURUMA SANA KWA KUTO JIELEWA. SIJUI KAMA IN GAMBO EFFECT AU NDIO SIGALA HAZIPATIKANI.
    ONA WENZAKO WENYE KUJIELEWA KINA

    LIJUAKALI/SELASINA NA WENZAO WALIO SHIRIKI WOTE NI WAZALENDO WALIO AMUA KULINDA HAKI ZA WAPIGA KURA WAO NA SIYO KIONGOZI WA CHAMA.

    NI UKWELI USIO PINGIKA KWAMBA WALIO WALETA BUNGENI NI WANANCHI WALIOWAPA IMANI NA SIYO MZOWE.

    Its unconstitutional Kukataza mahudhurioa na Hana Mamlaka hiyo.
    Na Wale wote waliomsikiliza Uamuzi wa mtu mmoja ambae hajaleta Hoja Bungeni na Kutengenezewa utaratibu wa kibunge Mmefanya Kosa Na ni kunyume cha taratibu na Miongozo ya Bunge. Hamuwezi Kiholela Kuacha kufika Bungeni na Kuendelea kujadili Bajeti. Sababu na Kibali hamkupata toka kwa Bunge. Kwa Hivyo utoro wenu is a Breach. Na Posho Hamtolipwa.

    Na wabunge wazalendo kama wewe mwenye kujua majukumu yenu na wananchi wapiga kura wenu mmewakilisha ipasavyo.

    Wenzenu watarudi majimboni kuwambia nini wapiga kura wao?

    Wanasikitisha...!!! tena sana, Nawonea HURUMA KWA JINSI WASIVYO JIELEWA.

    POLENI.. SISI NI MBELE KWA MBELE MPAKA KUHITIMISHA VIKAO VYA BAJETI.

    AJENDA YAO IMEGONGA MWAMBA...!!! NA POSHO PIA IKO HATARINI.. SI WAMEMSIKIA.

    SHAURI YAO. MSISEME HATUKUWAONYA.

    TZ OYEEE... WAZALENDO OYEEE....!!!!WENYEKUJIAMINI OYEEEE...!!

    WAPELEKESHWAJI NAO OYEE..!! SIJUI MIE.

    ReplyDelete
  3. THE RASTFARAIAN GODILESI UNATIA HURUMA SANA KWA KUTO JIELEWA. SIJUI KAMA IN GAMBO EFFECT AU NDIO SIGALA HAZIPATIKANI.
    ONA WENZAKO WENYE KUJIELEWA KINA

    LIJUAKALI/SELASINA NA WENZAO WALIO SHIRIKI WOTE NI WAZALENDO WALIO AMUA KULINDA HAKI ZA WAPIGA KURA WAO NA SIYO KIONGOZI WA CHAMA.

    NI UKWELI USIO PINGIKA KWAMBA WALIO WALETA BUNGENI NI WANANCHI WALIOWAPA IMANI NA SIYO MZOWE.

    Its unconstitutional Kukataza mahudhurioa na Hana Mamlaka hiyo.
    Na Wale wote waliomsikiliza Uamuzi wa mtu mmoja ambae hajaleta Hoja Bungeni na Kutengenezewa utaratibu wa kibunge Mmefanya Kosa Na ni kunyume cha taratibu na Miongozo ya Bunge. Hamuwezi Kiholela Kuacha kufika Bungeni na Kuendelea kujadili Bajeti. Sababu na Kibali hamkupata toka kwa Bunge. Kwa Hivyo utoro wenu is a Breach. Na Posho Hamtolipwa.

    Na wabunge wazalendo kama wewe mwenye kujua majukumu yenu na wananchi wapiga kura wenu mmewakilisha ipasavyo.

    Wenzenu watarudi majimboni kuwambia nini wapiga kura wao?

    Wanasikitisha...!!! tena sana, Nawonea HURUMA KWA JINSI WASIVYO JIELEWA.

    POLENI.. SISI NI MBELE KWA MBELE MPAKA KUHITIMISHA VIKAO VYA BAJETI.

    AJENDA YAO IMEGONGA MWAMBA...!!! NA POSHO PIA IKO HATARINI.. SI WAMEMSIKIA.

    SHAURI YAO. MSISEME HATUKUWAONYA.

    TZ OYEEE... WAZALENDO OYEEE....!!!!WENYEKUJIAMINI OYEEEE...!!

    WAPELEKESHWAJI NAO OYEE..!! SIJUI MIE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad