Mbunge Lwakatare Aibuka na Kumchana MBOWE "Kama Ningemsikiliza MBOWE na Kutii Agizo Lake la Kutoingia Bungeni Ningekuwa Mwehu Kupoteza Shilingi Milion 6"

Mbunge Lwakatare Iibuka na Kumchana MBOWE "Kama Ningemsikiliza MBOWE na Kutii Agizo Lake la Kutoingia Bungeni Ningekuwa Mwehu Kupoteza Shilingi Milion 6"
''Kama nisingeingia bungeni na kutii agizo la Mbowe,
nilikuwa napoteza fedha karibu Milioni6 ambayo nimelipwa kama posho, ningekuwa mwehu kumsikiliza Mbowe halafu nizikose hela hizo wakati nimeshasema nastaafu siasa na hizo hela nazihitaji'' -Lwakatare afunguka
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Lwakatare, Ulishtukia Picha mapema
    wewe na wenzako wanaojielewa.

    Hao wengine wa Kupelekeshwa wamezirudisha Pesa Zetu Tunashukuru ila ndiyo Imekula kwao.

    Nawapa nasaha Sigara Kubwa sio nzuri inafanya maamuzi ndivyo sivyo na mihemuko na uamuzi Batili ndiyo vile na ndiyo kilichotokea.

    Sasa wao Kolona imepiga Kona. Ila ona mchacho na mkato wa kokotoo . nasikia zile posho zilizochukuliwa na ila Familia yake itajaribu kuwagawia hawa aliowatosa. Sijui kama itakua yote au atawakata kama kawaida yake.

    Hongereni Waheshimiwa Makini Mnaojitabua na Kutambulika na wapiga kura wenu.

    NCCR oyeeeee.... Mbatia Oyeee.

    Kijani Safi...!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Wale walio ingia Mitini na Kutoroka Pasipo izini wanasema aliwatishia kuwafukuza na Kukatisha mafao yao Bungeni. Wakaingia Boya na Ukweli ni kinyume na alio watishia wale Watoto na Kumuamini.

      Angalia wenzao Wamesimama Ngangari
      Kina Selasini Silinde Lijualikali/ Lwkatare na Kina Mama Shupavu waliohudhuria.

      Hongereni sana Timu ya Mfano mlivyo onesha Ujasiri kabla ya Chama Kufa.

      Delete
  2. Hongera Lwakatare, Ulishtukia Picha mapema
    wewe na wenzako wanaojielewa.

    Hao wengine wa Kupelekeshwa wamezirudisha Pesa Zetu Tunashukuru ila ndiyo Imekula kwao.

    Nawapa nasaha Sigara Kubwa sio nzuri inafanya maamuzi ndivyo sivyo na mihemuko na uamuzi Batili ndiyo vile na ndiyo kilichotokea.

    Sasa wao Kolona imepiga Kona. Ila ona mchacho na mkato wa kokotoo . nasikia zile posho zilizochukuliwa na ila Familia yake itajaribu kuwagawia hawa aliowatosa. Sijui kama itakua yote au atawakata kama kawaida yake.

    Hongereni Waheshimiwa Makini Mnaojitabua na Kutambulika na wapiga kura wenu.

    NCCR oyeeeee.... Mbatia Oyeee.

    Kijani Safi...!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad