Mbunge wa Lushoto, Shabani Shekilindi amesema amegundua dawa inayotibu ugonjwa wa Corona.
Shekilindi amesema kwa sasa ameikabidhisha serikalini ili kupata uthibitisho wa maabara.
Mbunge huyu ameeleza kuwa hadi sasa ameshatibu zaidi ya wagonjwa 30 na wote wamepona
#HABARI Mbunge wa Lushoto Shabani Shekilindi, amedai amegundua dawa inayotibu ugonjwa wa Corona, ambapo kwa sasa ameikabidhisha serikalini ili kupata uthibitisho wa Maabara.— eastafricatv (@eastafricatv) May 8, 2020
Shekilindi ameeleza mpaka sasa ameshatibia wagonjwa zaidi ya 30 na wote wamepona. #JikingenaCorona pic.twitter.com/ccTsQQszG0