Web

Mchungaji “Upinzani Kazi yao Kuiongelea Vibaya Serikali Wanatia Aibu, Rais Magufuli Anapewa Maono na Mungu Mpaka WHO Wanamkubali”

Top Post Ad


Mwanasheria John Simon Kyashama ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la River of Healing Ministry lililoko kiluvya kwa komba ameta maoni yake kuhusu Hotuba ya Rais Magufuli na kumpongeza.



mbali na kumpongeza rais Magufuli kyashama aetumia fursa hiyo kuwashauri viongozi wa Upinzania kuwa waache kupingana na Serikali na badala yake waungane ili kutokomeza Corona.

Kyashama ameongeza kuwa Rais Magufuli ameuonyesha ulimwengu kuwa yeye ni Mwana Sayansi na ana uelewa wa kisanyansi, Mfano Rais Maguful;i akitoa hotuba hata WHO shirika la Afya duniani wanarudia yale yale.

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.