Meshak wa BSS Alivyomalizana na Madam Rita Kuhusu zawadi “Natamani Nirudie Tena BSS” (Video)


Muandaaji wa Mashindano ya BSS, Madam Rita Ijumaa hii alitua Baraza la Sanaa Tanzania BASATA kwaajili ya kumalizana na Mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshaki ambaye alidai kudhulumiwa pesa zake ambazo aliahidiwa kama mshindi. Naye Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Godfrey Mngereza amedai Meshak siye aliyeandika barua ya kulalamika kutolipwa kwa pesa zake:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utapeli na ubabaishaji hatumtaki.
    Huyu Dogo kalipwa Mil5.
    Na anamumunya maneno na Mngeleza NI Lazima urudi KATIKA runinga kutuelezea Kayumba anasaidiwaje kijana huyu na Meshack milioni 45 zilizo baki analipwa mikupuo mingapi.

    Tuaidanganyane kuse. A analipwa halafu Wana ingia mitini kama w alivyo zoea huko nyumba.

    JPJM Oyeee... Mwakyembe Safi..!!
    Shonza Oyeee... Mngeleza Safi...

    TUHAKIKISHE HAKI ZA HAWA CHIPUKIZI ZINAWAFIKIA.

    ReplyDelete
  2. Kichwa Cha Habari NI potofu na kina mabaki baki.

    HAWAJAMALIZANA. IMEONESHA NIA IPO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad