Mrembo Afunguka "Nimejaliwa Umbo Zuri na Mungu Hivyo sio Dhambi Kuwaonyesha Watu'

Pichani mrembo huyo kwa jina la Anita amesema kamwe hawezi kuomba radhi sababu ya kujaaliwa umbo lenye mvuto .
Ameyasema hayo Kwa hasira akimtuhumu mmoja wa mashoga zake wa karibu kumsengenya kwa watu kuwa muda mwingi anatupia videos mtandaoni Ili kuwaonesha watu umbo lake .
.
Anita amesema kinachomsumbua rafiki yake huyo ni Wivu wa kutamani umbo lake angepewa yeye kwani Kama Ni videos hata mrembo huyo Pia anatupia Kwa kujifichaficha mtandaoni. Amemalizia Kwa kumwambia ashukuru hapost videos chafu Ila ataendelea kujitukuza alivyoumbika
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapana, unakosea! Huyo Mungu aliyekupatia umbo hilo zuri hapendi umwoneshe kila mtu bali mumeo tu. Sivyo subiri ghadhabu yake!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad